Published in News
avatar
3 minutes read

Tigo Tanzania Yazindua "Fiber" Internet ya Uhakika

Tigo Tanzania Yazindua

Tumekuletea Fiber to Home: intaneti ya uhakika, isiyo na kikomo na yenye kasi zaidi Tanzania.💫

Huduma hii mpya kutoka #Tigo, inakuwezesha kuunganisha nyumba, biashara, shule, chuo, ofisi yako na intaneti ya uhakika bila kikomo na kukufungulia ulimwengu wa Kidigitali🌍 kwa gharama ya kuanzia Tsh 70,000/=.

Ili kufurahia Fiber to Home wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa wateja 100 au tembelea #TigoShop karibu yako.

Jiunge na Fiber ufurahie kasi ya WOW yenye;

📌Intaneti bila kikomo

📌Intaneti ya Uhakika

📌unganishwa kirahisi

📌Huduma kwa wateja masaa 24

Ngachi_store, huduma hii bado haijafika eneo hilo, kwa sasa inapatikana Mbweni na baadhi ya maeneo ya Bunju. Lengo letu ni kufikisha huduma hiyo kila eneo ambapo tumeanza na maeneo hayo machache, endelea kuwa nasi na pindi tutakapo fika eneo hilo tutakufahamisha.
Tigo Tanzania
Tunapenda kukufahamisha kuwa vifurushi vyetu vya fiber ni: Hadi 10mbps - TZS 70,000, na Hadi 20mbps - TZS 100,000, Hadi 50mbps - TZS 150,000, Hadi 100mbps - TZS 200,000
Tigo Tanzania

Comments