Published in
News
Tovuti kubwa ya matangazo ya Tanzania, Kupatana, imeununuliwa na AUTO24.africa, kwa mujibu wa tovuti ya Tanzania Tech.
AUTO24 Africa ni mtandao wa mkubwa wa uuzaji na ununuzi magari yaliyotumika barani Afrika, mtandao huu unapatikana kwenye nchi mbalimbali Africa.
Hata hivyo bado haijajulikana kiasi kilicho tumika kununua mtandao huo, hata hivyo inathibitishwa utawala wa AUTO24 Kusini mwa Jangwa la Sahara inaashiria azma yao ya kubadilisha mtandao wa kupatana Tanzania kuwa mtandao wa kuuza magari yaliyotumika Tanzania.
This is Nice