Karibu kwenye tovuti ya biashara blog, tovuti hii ni maalum kwa wafanya biashara wote na wajasiriamali. Kama wewe kwa namna yoyote unataka kujifunza kuhusu biashara au kupata taarifa mbalimbali zinazo husu biashara basi hii ni sehemu sahihi.
Tovuti hii ni maalum kwa biashara za Watanzania, kuanzia makampuni watu binafsi hata wafanya biashara wadogo ambao wana chipukia.
Lengo la Biashara Blog
Lengo kubwa la biashara blog ni kukupa sehemu maalum wewe mfanyabiashara kuandika mawazo yako, kutoa taarifa za muhimu kwa wateja wako na pia kuelimika. Pia kwako wewe kama msomaji lengo la biashara blog ni kukupa taarifa za muhumu kutoka kwa wafanyabiashara unao waamini na kuwa fuatilia. Pia utaweza kujifunza na kufahamu taarifa mbalimbali zihusuyo mambo ya biashara.
Biashara Blog Inaweza Kuwa Blog Yako
Mbali ya kuwa biashara blog inakupa taarifa mbalimbali wewe mfanyabiashara na hata msomaji wa kawaida, pia inaweza kuwa ni blog yako ya biashara na sehemu ya kuandika kuhusu biashara yako.
Huna haja ya kuwa na tovuti yako binafsi kwani sasa ni rahisi kuanzisha blog kwaajili ya wateja wako. Kitu kizuri ni kuwa unaweza kupata jina linalo endana na mitandao yako ya kijamii hii itakuwa rahisi kwa wewe kupatikana kwenye mitandao ya kijamii pamoja na blog yako kupitia biashara blog.
Kwa mfano unaweza kuona link ya blog ya biashara blog ni
Hii kwa kupata link ya mtindo huu utaweza kufanya brand yako ijulikane zaidi na pia utaweza kutoa taarifa kwa wasomaji wako kwa urahisi na haraka.
Kwa ufupi kabisa huu ndio utangulizi wa biashara blog, kama unataka kujifunza jinsi ya kutumia bishara blog na baadhi ya sifa muhimu za tovuti hii endelea kutembelea biashara blog pia hakikisha una follow Blog ya biashara blog kwa taarifa zaidi.
Best